Anna Malechela leo umeniboa bungeni

Wewe hajakubore kama mimi!

Na wabunge wengi wa ccm wamebore pia kwa kusupport hoja kimipasho na ushabiki
bila kujali kuwa wako pale kwa ajili ya umma.

Hawa ccm wapo kichama zaidi
 
Ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuanza rasmi kampeni ya kumng'oa Anne Malecela Same Mashariki kwa kuwaeleza wananchi wa Same ni kwa jinsi gani Mbunge wao hayukotayari kuona watanzania wanapata katiba mpya ambayo itakidhi mahitaji ya jamii zote na sio chama chake (CCM) tu.
 
wenye majimbo ya wabunge wa ccm nawaonea huruma kweli. jamaa hawatujali kabisa, wao kwanza, chama kinafuata, sisi wananchi tuko mwishoni. full kulindana. kwanza katiba mpya iwafute wakuu wa wilaya au na wao waombe kazi wapigwe interview kama kazi nyengine
 
Ukiona mwanamke anayetakiwa kuwa na staha na heshima kama huyu Anna Kilango, anaongea mpaka povu linamtoka mdomoni, mpaka mate yake mdomoni yanarukia watu, mpaka mishipa ya shingo inamtoka, kelele mpaka watu wanaziba masikio, anajiropokea tu yanayomjia mdomoni, basi mwogope sana kama ukoma mwanamke wa namna hiyo. Bungeni ni sehemu ya kuongea kwa STAHA kubwa ukijua unawakilisha wananchi. Sasa huyu anakwenda pale kupiga makelele kama mwehu bila kuchagua anachoongea, nadhani anastahili kufananishwa na MASHAN....PE. Ina maana haoni wanawake wenzie huko bungeni wanavyoongea kwa staha, heshima na utulivu? Pole Mzee wetu Malecela. Hapo uliingia choo cha kike.
 
Hicho kibibi hata mimi sikipendi kabisa,nadhani tumsamehe bure wakuu,tatioz ni lile lile la TABULA LAZA,IGNORANCIA CLASSA,nasikia ni form 4 failure
 
Aliongea huku akikumbuka mipesa ya Patel
 
Ndio shida yakuwa na wabunge wenye upeo mfupi,hili linarudi kwetu wapiga kura ni aina gani ya viongozi tunaotaka waongoze taifa hili? maana viongozi tunaochagua ndio taswira ya taifa hili na wapi tunataka lielekee wao ndio wataongoza.
 
wakuu wenyewe hawa wa wilaya wengine darasa la saba vitoweo vya wakubwa wanabebwa tu hawaelewi lolote.
 
Kwa mara ya kwanza leo umeniboa bungeni kwa hoja yako ya kung'ang'ania wakuu wa wilaya wapewe jukumu la kusimia mchakacho wa katiba wilayani

Siku zote huyu mama ni mpayukaji, anafaa kuwa mwimbaji wa mchiriku
 
Kukosa ufirst lady sio mchezo, lazima uchanganyikiwe. Kwani nyie mnamuonaje huyu mama?
 
mimi ameniboa anavyochangia utafikiri yupo vitani saa zote kama vile ana taka shari democracia sio vita,pingana kwa hoja na sio hasira wala kuongea namna hiyo unless unauchungu wa jambo la msingi ambalo unahitaji kusisitiza kwa kuonesha hisia maneno ya kejeli na kasha na majigambo ua nini hayatasaidia tu.
hapo ndio wapo chama tawala na wanabebana,ingekuwa upinzani na jinsi wanavyokuwa wanaonewa kwa hulka hii si angepiga watu.
huwa ananiboa sana kufokea wenzake kama watoto.kuna namna ya kubishana kistaarabu kama watu wazima.
 

mwanasheria mkuu anawaogopa magamba.ndio maana yupo kama bendera. magamba mchezo!? hasa wakiwakuta wakuwaonea
 
Kwa mara ya kwanza leo umeniboa bungeni kwa hoja yako ya kung'ang'ania wakuu wa wilaya wapewe jukumu la kusimia mchakacho wa katiba wilayani

amekaa kimapashoooo nafikiri ingeruhusiwa kupigana angesha watupia wenzake makonde
 
huyu mama mara nyingi huwa anajipambanua kama mzalendo na kujifanya hayupo kiitikad kumbe ni mnafiki tu, hoja aliyokuwa anaitetea jana ni ya kiitikani kwani anajua wazi hakuna DC ambaye sio mwana CCM, na mchakato wetu wa katiba hauhitaji itikadi za vyama bali utaifa zaidi,
 
Wandugu

Wabunge wengi wa CCM wasingekuwa madarakani leo kama sio kusaidiwa na Wakuu wa wilaya
Kumbukeni Ya juzi juzi tu ya IGUNGA, so wanajua hawa jamaa wakiwekwa pembeni basi itawawia ngumu saana ku push agenda zao
 
Nilisoma mahali kuwa @NYC yuko DOM anatembelea majimbo he he he ! si amshauri mama mdogo aache kuongea ovyo kama kachanganya betri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…