Ha ha ha ha, ukoo wa panya mnachekesha kweli kwani huko kuna watu wenye hoja au vioja? Kati ya hawa nani mwenye hoja? Lukuvi, wasira,Mwigulu, lusinde,Nkamia, komba, Ndugai, Makinda, Pinda,? Sioni hata mmoja anayeweza kuwa na hata 1% kati ya 100% za Tundu Lissu.
Nimekuwa nikifuatilia bunge maalumu la katiba kwa muda sasa,nilichogundua ni kwamba mheshimiwa Anna Kilango na Ole Sendeka wanatuangamiza kwa kushindwa kuwasilisha hoja zenye ushawishi kwa watanzania ,badala yake wanakuwa kama wanasoma ngonjera .Mzee wetu Samweli Sitta ni muda kuwaondolea hadhi ya uwenyekiti kwa kamati wanazaziongoza na kutuwekea wanasiasa vijana wa ccm wenye uwezo wa kujenga hoja mfano Peter Serukamba na hata Mheshimiwa Said Mchatta,chonde chonde hatutaki mipasho ya Richmond hapa

Jamani mbona Ole alikuwa Monduli 9 kawasilisha na kusoma saa nga[i hizo hoja?