ana bahati ya nini? ulitegemea watu wamponde au?
ninavyomjua ana ni dada mzuri ana roho nzuri sana, na baada ya ndoa yake kuvunjika alirudi kwa wazazi wake osterbay.
Samahani kuwa Mkurugenzi kwake kunahusiana nini na kuachana na mumewe, kweli msipende kunyanyasa wanawake. Au ulipenda ashuke zaidi? sio vizuri hivyo lakini, halafu haya ni maisha yao binafsi je sie tukianikwa kwenye forums itakuweje?