Anguko la dola ya Iran li karibu

Anguko la dola ya Iran li karibu

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,335
Hatimaye Marekani imemua Jenerali wa kutumainiwa kabisa na Iran.

Hayati Jenerali Qassim Suleiman aliwindwa kwa muda mrefu na CIA, ilikuwa vigumu kumuua kwa sumu au kutumia snippers kutokana na jinsi alivyokuwa anaishi kwa machale na ulinzi mkubwa pia.

Jenerali Suleiman alikuwa na ndoto za alinacha za kupigana na Israel na Marekani kisha Iran ishinde vita.

Baada ya kuuliwa kwenye shambulizi la anga kwenye jiji la Baghdad Iraq, ulimwengu wa kiislamu uligawanyika, Saudia Arabia walishangilia (Saudia na Iran ni mataifa ya Kiislamu yenye mgogoro mkubwa wa Kidiplomasia kwa sasa).
Iran iliapa kulipa kisasi ,na hakika italipa kisasi haitanii.

Kitendo cha Iran kulipa kisasi kitasababisha vita kamili ,Marekani iitaishambulia Iran kwa pigo lisilo la kawaida na safari hii itapigwa ardhi ya Iran kabisa.

Iran nayo itajitutumua kwa kushambulia ardhi ya Israel pamoja na Saudia, hapo ndipo eneo la Mashariki ya Kati litakatika vipande vipande.

Urusi inaweza kuingia vitani pia ili kulinda maslahi yake eneo la Mashariki ya Kati, ni bora vita iishe mapema, endapo vita itachukua muda mrefu kuisha ,Urusi ina jeshi zuri sana ,na silaha bora Kama Marekani ,tatizo la Urusi ina uchumi dhaifu ,haitaweza kuhimili vita muda mrefu, itashindwa.

China wana jeshi zuri lisilo na ujuzi wa kupigana vita, Wachina ni bahiri sana, ni waoga wa vita wakihofia kuanguka kiuchumi, watatumia fursa hiyo kuuza silaha.

Kwa hiyo Iran itakosa sapoti ya kuifanya ishinde vita.

Nyuma ya Marekani kutakuwa na Uingereza,na Israel, ambazo zitapigana sambamba.
Iran itashindwa vita na kumeguka vipande.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said China na Urusi hazioni maana ya kuingia vitani sasa hivi China ndo muoga kabisa mambi yake yanamuendea vizuri yuko kwenye vita ya kiuchumi na marekani hio inatosha kabisa waajemi mda huu itabidi wapambane wenyewe sababu nchi njingi za middle east mda mrefu zimepambana na isis naona iran anakufa dakika moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha vita wala ndugu yake vita labda mashambulizi ya vikundi vya kigaidi.

Iran hawana uwezo wa kupigana vita hata na France wakashinda waje wapigane na Marekani?

Iran hatokubali kufanya kosa alilofanya Sadam Hussein
 
Vita vikizuka Iran ndio atakayepoteza na ndio itakuwa mwanzo wa mwisho wake. Iran ni mwepesi sana.
 
Niwaulize wanaume wenzangu hivi ukuwa umelala ukashtuka jamaa katumbukiza kirungu kwenye Log inverse ya mouth na ukimcheki ni kipande cha MTU utamwacha aendelee kwakuwa ni mbabe au utapambana had utakapoishia?
 
Wakati ule wa Sadam Hussein wengi walitegemea Iraq ingepata msaada toka kwa Russia na China, hao majamaa huwaga hawana msaada kabisa
Well said china na urusi hazioni maana ya kuingia vitani sasa hivi china ndo muoga kabisa mambi yake yanamuendea vizuri yuko kwenye vita ya kiuchumi na marekani hio inatosha kabisa waajemi mda huu itabidi wapambane wenyewe sababu nchi njingi za middle east mda mrefu zimepambana na isis naona iran anakufa dakika moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama humwezi heri unywe tu sumu
Niwaulize wanaume wenzangu hivi ukuwa umelala ukashtuka jamaa katumbukiza kirungu kwenye Log inverse ya mouth na ukimcheki ni kipande cha MTU utamwacha aendelee kwakuwa ni mbabe au utapambana had utakapoishia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vita vikizuka Iran ndio atakayepoteza na ndio itakuwa mwanzo wa mwisho wake. Iran ni mwepesi sana.
Kama Wangekua Wepesi Sana Kama Unavyotuaminisha Wewe Toka Mwaka 1979 to 2020 Wanangojea Nini Mbna Naona Wamewaacha Tu Jamaa Wanazidi Kujiimarisha


All Is Well In Turampet Voice [emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji2][emoji12][emoji12][emoji14]
Wakati ule wa Sadam Hussein wengi walitegemea Iraq ingepata msaada toka kwa Russia na China, hao majamaa huwaga hawana msaada kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Hata Alotegemea Hilo Jambo Kwasababu SADDAM Alikua Kibaraka MKUBWA wa US Ila Hata Kwa IRAN Hakuna Anaetegemea Kama Atapewa Msaada Nahao Mabwana Ulowataja Hapo IRAN Atapambana Mwenyewe Mpaka Mwisho Wake Aelewe Kama Anakufa Ama Anakufa KIUME


All Is Well In Turampet Voice [emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom