Mkuu kabla ya anko kutangaza kua nafasi za kwenda Israel kua ni za kufanya application hapa chuoni walikua wanachaguana kama sio mlokole kupata nafasi hiyo ilikua ni ndoto kutokana na udini wa kaimu Mkuu wa chuo na jopo lakeMkuu naomba kujua Scenario ya udini inaingiliana vipi na Management ya chuo
chuo cha MATI UYOLE ni moja ya vyuo vikongwe vya kilimo hapa tanzania ila kwa sasa kina hali mbaya kuanzia uongozi uliopo mbaka miundo mbinu ya hapa chuoni hakina ata viti vyakukalia wanafunzi chuo kimetawaliwa na udini chini ya kaimu mkuu wa chuo Emmanuel mwalukasa na kuwapa kipao mbele baadhi ya wanafunzi na walimu ambao wanaabudu dini moja yani chuo kimejaa uozo
Naona umekuja kujitetea kwa speed lakin kama mapungufu yapo lazima yasemwe ndio utamaduni wetuHabari hii haina ukweli wowote.
1. Mtoa hoja anasema Chuo "hakina hata viti vya kukalia wanafunzi"
Maswali yangu ni:
i. Je wanafunzi wanasoma wakiwa wamesimama muda wote?
ii. Chuo kina usajili wa kudumu kutoka NACTE je msajili huyo ameshindwa kufuatilia masharti ya usajili hadi aruhusu Chuo kuendeshwa bila viti? Hii inawezekana kweli?
iii. Chuo ni mali ya Wizara ya Kilimo (Serikali) mmiliki ambaye ni serikali ameruhusuje Chuo chake kuendeshwa katika hali ya ubovu?
2. Kuhusu udini katika kuteua wanachuo kwenda Israeli hakuna ukweli wowote. Vigezo vilivyotumika hakuna kipengele hata kimoja kinachohusisha dini ya mhusika. Vigezo ilikuwa 1. Mlengwa awe na ufaulu wa First Class au Upper second class, 2. Awe na bidii ya kazi, 3. Awe na tabia nzuri na nidhamu (character 4), 4. Awe na uwezo wa kuwasiliana kwa kiingereza. 5. Awe na uwezo wa kugharimia passport na viza kwa ajili ya safari 6. Asiwe mwajiriwa wa Serikali. Pia napenda kumjulisha mtoa mada kuwa sio wanafunzi wote walioenda Israeli ni WALOKOLE kama alivyodai. Aidha kwa nyongeza tu tangu Kaimu Mkuu wa Chuo anayetuhumiwa kuingia madarakani Chuo hakijawahi fanya uteuzi wa wanafunzi kwenda Israeli. Pia wanafunzi walioko Israeli kwa sasa wakati wa uteuzi wao Kaimu Mkuu wa Chuo alikuwa nje ya ofisi kikazi zoezi hilo lilisimamimiwa na aliyekaimu ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo.
3. Mtoa mada awe mkweli. kama ni mwanafunzi sio lazima asome Chuo kibovu kwa mtazamo wake anaweza kutafuta Chuo kilicho bora kulingana na mtazamo wake. Kama ni mtumishi anaweza kwenda kufanya kazi kituo kingine ambacho kitakuwa na ubora anaotaka kulingana na mtazamo wake.
Mwisho: Nimwombe mtoa mada atembelee vyuo vyote (14) vilivyo chini ya Wizara ya Kilimo afanye ulinganifu halafu atoe majibu na kutoa taarifa kama Chuo cha Uyole kitakuwa ni kibovu kuliko vyuo vyote vya kilimo nchini.
Mtoa mada unaonekana mkulupukaji wa kiwango kikubwa sana,inaonesha una chuki binafsi na mr mwalu,mwalukasa ana mapunufu yake ila sio kwa uongo uloandika hapa!!!chuo cha MATI UYOLE ni moja ya vyuo vikongwe vya kilimo hapa tanzania ila kwa sasa kina hali mbaya kuanzia uongozi uliopo mbaka miundo mbinu ya hapa chuoni hakina ata viti vyakukalia wanafunzi chuo kimetawaliwa na udini chini ya kaimu mkuu wa chuo Emmanuel mwalukasa na kuwapa kipao mbele baadhi ya wanafunzi na walimu ambao wanaabudu dini moja yani chuo kimejaa uozo
Ni utamaduni mzuri sawa lakini yasemwe mapungufu yaliyo ya kweli sio ya uzushiNaona umekuja kujitetea kwa speed lakin kama mapungufu yapo lazima yasemwe ndio utamaduni wetu
Huyo we muache aendeleze yake lkn kuna mtu atalkuja intakee hiiii nae ajiandae kuondoka tena kwa kashifa nzitochuo cha MATI UYOLE ni moja ya vyuo vikongwe vya kilimo hapa tanzania ila kwa sasa kina hali mbaya kuanzia uongozi uliopo mbaka miundo mbinu ya hapa chuoni hakina ata viti vyakukalia wanafunzi chuo kimetawaliwa na udini chini ya kaimu mkuu wa chuo Emmanuel mwalukasa na kuwapa kipao mbele baadhi ya wanafunzi na walimu ambao wanaabudu dini moja yani chuo kimejaa uozo