Mkuuu umesema kweli mie ni muhanga wa biashara hyo naogopa hata kuifanya naogopa kuweka pesa yanguWakulima hawafikiwi kwa kuwa waagizaji wako mijini .Agrodelear hawapata nafasi ya kuuza mbolea hizo .na kamtaji kadogo sisi tununue cash.pamoja nae ruzuku ya serikali itakalipwa na serikali tuwalipie.tubaki tukidai kwao.haifai kwanini wao wasisubirie kudai serikalini.
Bashe alikuwa na mpango mzuri, lakini alichosahau ni kitu kimoja cha msingi sana na viongozi wetu wanategemea sana mipango ya makaratasi kuliko uhalisiaWabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo unawanufaisha matajiri huku wakulima wakiendelea kulia.
Mbunge Condescha Sichalwe na Vita Kawawa wamelalamikia wakulima wengi kutofikiwa na mbolea ya ruzuku huku Serikali ikiwa imeshatoa Bilioni 150 kwa ajili ya kugawa mbolea ya Ruzuku.
Hali ikoje kwa wakulima kuhusu mbolea ambayo inaonekana ndio machinjio ya Waziri Bashe na hata alipotoa taarifa yake bungeni kwa Mbunge Vita, Spika Tulia akaikataa na kutaka wakulima wafikiwe na mbolea kama malengo ya Serikali
Hili kwa kweli ndio kaburi lake kisiasaWabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo unawanufaisha matajiri huku wakulima wakiendelea kulia.
Mbunge Condescha Sichalwe na Vita Kawawa wamelalamikia wakulima wengi kutofikiwa na mbolea ya ruzuku huku Serikali ikiwa imeshatoa Bilioni 150 kwa ajili ya kugawa mbolea ya Ruzuku.
Hali ikoje kwa wakulima kuhusu mbolea ambayo inaonekana ndio machinjio ya Waziri Bashe na hata alipotoa taarifa yake bungeni kwa Mbunge Vita, Spika Tulia akaikataa na kutaka wakulima wafikiwe na mbolea kama malengo ya Serikali
Bashe hajawahi kufaulu kwa lolote. Amezidisha uongo na masifa.Wabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo unawanufaisha matajiri huku wakulima wakiendelea kulia.