Anguko kuu la CHADEMA

kabla ya uchaguzi kuna kampeni maalum ndani ya chadema itapewa jina la oparation ya ukombozi ndani ya chama kuelekea uchaguzi october 2020.

mambo yatakaa sawa na bilioni nane alizokula atazitoa kupitia tundu lolote la mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni chama kinachokomaa na hakifi leo wala kesho.
 
Kuna siku tutaamka tuambiwe CHADEMA kimebaki na watu wafuatao tu;
1. Aikael Mbowe Freeman
2. Tundu Lisu Antipas
3. Joseph Mbilinyi (Sugu)
4. Halima James Mdee (zege ya sauti)
5. Mchungaji Peter Msigwa
6. John John Mnyika
7. Joseph Haule (Prof. Jay) Yule mbuge wa swala, Simba, fisi na Watu.

Wengine waliobaki hawatabiriki, huita Bwana bwana lakini akigeuka nyuma hatowaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh!Na wewe nawe,umetapika utumbo mtupu.Mchana na mada.Mtazamo Mbowe katika kuna zote,kweli anastahili hata kuwa mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Bomang'ombe?
Sasa uozo wake na wa Chama chake unaonewa hadharani.Au hao kina JUALIKALI na wenzie,ndio wamenunuliwa na Chama kubwa(CCM)?Hivyo alinunuliwa kiasi gani hadi kujikinga kulia.
Huh ni mwisho wa Chadema na mwanzoni wa Siasa bila DJ inawezekana TZ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna makosa mengine hayawezi subiri natural justice ifanyike ...Ni sawa na Waziri mmoja huko aUingereza aliyejuzulu baada ya kukutwa akijifaidia Malaya barabarani....alipisndika barua ya kujiuzuru PM Wala hakumjibu alichofanya Ni kuteua Waziri mwingine Basi!
 
Mkuu una hoja za kitoto!
 
Kama unasubiri anguko la CDM basi utakufwa bila kulishuhudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…