Huzuni yatanda mtaani,chadema ikipigwa uchaguzi...enyi akina timu lowassa mtaziweka wapi sura zenu....najua wengi wenu mmeahidiwa madaraka...ila kifuatacho ni kushuhudia Chadema ikisambaratika...wengi wenu hamtavumilia kwenye ujenzi wa chama na lowasa wenu........
Hakuna haja ya kuelezwa Ushindi umekujaje kinachotakiwa ni Kupiga kura, kuweka waangalizi wenu wa kupiga kura na kuhesabu kura tena mhakikishe wapo sober kabisa na wanajua kusoma na kuandikaili waweze kushuhudia kinachotokea kwenye vituo vyenu vya vijijini na mijini........tusikurupuke kukataa matokeo ilhali hatujahakikisha vitambulisho vyetu vya kupiga kuraThe Bad NEWS is...!
Hatutakubali CCM wajitangaze washindi, ilhali kila dalili inaonyesha nani anayeungwa Mkono na wananchi walio wengi!
CCM mtatueleza hizo kura za ushindi mmezitoa wapi!!!? Mwaka huu lazima pachimbike!!!
Tunapo sema wengi wa watanzania ni vilaza huwa tunamanisha.wewe badala uombe upinzani uwe imara kuwe na ufanisi wa kazi na matumizi mazuri ya fedha za umma.hivi kwa akili zako za maji ya maboga isingekuwa upinzani hzo skendo za rushwa serekalini ungezijua.
CCM WATATAFUNA MPAKA UZAO WAKO
Wewe ndio peke yako uliyesalia kuandika hoja mfilisi kama hizi.
Fahamu mambo ya kitaalamu kwenye uchaguzi kuwa 2/3 ya ccm bungeni haipo tena,na hakuna hoja itakayoungwa mkono na wapigakura kwani ccm ni chama kilichoziba maskio.
Pia fahamu kuwa chadema ishinde,isishinde itakuwa bonge la chama nchi hii ambapo ccm itapata shida kutawala"
The Bad NEWS is...!
Hatutakubali CCM wajitangaze washindi, ilhali kila dalili inaonyesha nani anayeungwa Mkono na wananchi walio wengi!
CCM mtatueleza hizo kura za ushindi mmezitoa wapi!!!? Mwaka huu lazima pachimbike!!!
Tunapo sema wengi wa watanzania ni vilaza huwa tunamanisha.wewe badala uombe upinzani uwe imara kuwe na ufanisi wa kazi na matumizi mazuri ya fedha za umma.hivi kwa akili zako za maji ya maboga isingekuwa upinzani hzo skendo za rushwa serekalini ungezijua.
CCM WATATAFUNA MPAKA UZAO WAKO
Sasa skendo za rushwa zimewageukia ninyi na ndiyo maana baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vinavyounda ukawa walipoliona hilo waliamua kujiondokea mapema ili wasilaumiwe bure. Kipindi hiki hatuna imani na ukawa. Na ni ukweli usiopingika kwamba ukawa haiaminiki ukilinganisha na kipindi cha nyuma. Na niukweli usiopingika kwamba kamwe ukawa haiwezi kupata ridhaa ya wananchi ktk kuwaongoza wananchi kwa sbb ni vigeu geu pia wanatanguliza maslahi mbele kuliko utetezi wa wananchi na ndiyo maana taswira ya kupata watetezi wa katiba ya wananchi imefifia miongon mwa wananchi kwa sbb wale waliyoikataa ndo wliopewa kipaumbele cha juu kuliko wale walioitetea.