Angry boss!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,891
Reaction score
15,112
[TABLE="width: 0"]
<tbody>[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

[h=1][/h]
[TABLE="width: 0"]
<tbody>[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]




Je ushawahi kuwa katika hali ya kutaka shimo lijitokeze nawewe uingie humo?
Umeenda kwa bosi kutaka mkopo kutatua tatizo linalokusibu.

Bosi akakumbuka tatizo lako fulani lililo sababisha kampuni hasara ,na akalipuka kwa hasira namna hii, ungefanyaje?
 
Mkuu mpe pongezi za dhati kabisa aliefaanikiwa kumpiga picha bosi akiwa katika hali hiyo kama bado yupo kazini ntashukuru sana
 

Kwa hali hii naacha kazi mwenyewe!!!!
 
Mie bosi wangu nyumbani huyu hapa!
Kila nikirudi nyumbani toka kuangalia mechi za UEFA championship!!
 
Mie bosi wangu nyumbani huyu hapa!
Kila nikirudi nyumbani toka kuangalia mechi za UEFA championship!!

Sasa ukiwa na bosi kazini kama yule , na mamaa nyumbani kama huyu, laga pale pub ya karibu ni mpaka asubuhi!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…