ANGOLA: President Eduardo dos Santos appoints his daughter as Head of State oil firm

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
June 03, 2016

706x410q70Rafael-Marques-Isabel-dos-Santos-MAIN-PHOTO.jpg


Angolan President Jose Eduardo dos Santos has appointed his daughter as head of state oil firm Sonangol, Angola National State Radio (RNA) reported on Thursday, as the government aims to turn around the struggling company after low crude prices hit revenue.

Citing a presidential decree, RNA said Isabel dos Santos would head the company, after the president fired the entire Sonangol board and appointed a new one.

Angola said in April it would restructure Sonangol to "increase efficiency and profitability".

Sonangol said in February that debt owed to foreign oil companies had soared and it expected a very difficult year.

Angola imports around 6 million cubic meters of refined products a year, according to national statistics.

Angola, a member of OPEC, is currently Africa's largest oil producer because of militant attacks and other problems that have cut output in Nigeria.

Dos Santos, who has been in power since 1979 and is one of Africa's longest-ruling leaders, said in March he intended to step down as president in 2018 but gave no reason for his decision and did not name a preferred successor.

Dos Santos' mild, inscrutable public demeanor belies his tight control of Angola, a former Portuguese colony where he has overseen an oil-backed economic boom and the reconstruction of infrastructure devastated by a 27-year-long civil war that ended in 2002.

Critics accuse him of mismanaging Angola's oil wealth and making an elite, mainly his family and political allies, vastly rich in a country ranked amongst the world's most corrupt.

Oil sales account for more than 90 percent of Angola's foreign exchange earnings, making Sonangol the biggest source of state funding.

(Reporting by Herculano Coroado; Writing by Olivia Kumwenda-Mtambo; Editing by Andrew Roche and Alistair Bell - Reuters)
 
Rais wa Angola amteua bintiye mkuu wa mafuta

160311111546_dos_santos_512x288__nocredit.jpg

Image copyright Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, amemteua binti yake kuwa mkuu wa shirika la mafuta la kitaifa la Sonagol.
Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, amemteua binti yake kuwa mkuu wa shirika la mafuta la kitaifa la Sonagol.

160603055721_isabel_dos_santos1920.jpg

Image captionIsabel dos Santos ndiye mwanamke tajiri zaidi barani Afrika
Rais aliwaachisha kazi wanachama wote wa bodi ya shirika hilo mnamo mwezi Aprili, mwaka huu.

Vyombo vya habari nchini vinasema kuwa Isabel dos Santos anatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa katika shirika hilo ili kuimarisha utendakazi na faida katika shirika hilo.

120904133043_day_inpics_9_976x549_afp.jpg
Image copyrightAFP
Image captionAngola ni taifa la pili katika uzalishaji wa mafuta barani la Afrika.
Angola ni taifa la pili katika uzalishaji wa mafuta barani la Afrika.

Binti dos Santos ambaye ametambuliwa na jarida la Forbes kama mwanamke tajiri zaidi barani Afrika; tayari ameekeza katika sekta ya simiti, benki na mashirika ya mawasiliano na uchimbaji wa almasi.


Mshirikishe mwenzako Un
 
Afrika bado bara la giza wala sishangai.Angalia hata hapa kwetu mambo yanavyokwenda shabala bagala.
 
yaani kuanzia 1979 wegine hawajazaliwa hadi leo wameoa na wana watoto jamaa ni Raisi tu duh miaka 37..........................
 
Namfahamu huyo dada Isabel ambaye mama yake ni Mrusi anaitwa Tatiana Kukanova ambaye alikutana na Do Santos wakati anasoma Azerbaijan. Ukifika Angola kampuni zote za usafiri wa mabasi ni zake, mtandao wa simu za mkononi ni wake, yaani anamiliki karibia kila kitu. Na anatajwa kuwa mmoja wa vijana matajiri Afrika.
 
Namfahamu huyo dada Isabel ambaye mama yake ni Mrusi anaitwa Tatiana Kukanova ambaye alikutana na Do Santos wakati anasoma Azerbaijan. Ukifika Angola kampuni zote za usafiri wa mabasi ni zake, mtandao wa simu za mkononi ni wake, yaani anamiliki karibia kila kitu. Na anatajwa kuwa mmoja wa vijana matajiri Afrika.
Ila kuna kipindi kulikuwa na kashfa ya ufisadi/rushwa ilimhusu huyu mama. Sijui iliishia wapi. Ila hapo lazima kutakuwa na mgongano wa kimaslahi.
 
Ila kuna kipindi kulikuwa na kashfa ya ufisadi/rushwa ilimhusu huyu mama. Sijui iliishia wapi. Ila hapo lazima kutakuwa na mgongano wa kimaslahi.
Ukipata muda kwenda Angola, utajua zaidi. Kifupi yeye anajimilikisha kila kitu kwa mgongo wa baba yake, ni fisadi hasa, lakini ndo vile baba yake kashika kila kitu
 
Back
Top Bottom