PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
hilo bao lilikuwa tamu sana coz ni pasi moja tu kutoka kati ya uwanja then mtu anakimbiza na kupiga goli, duh nimemkubali Gyan![]()
Ghana's Goal
hilo bao lilikuwa tamu sana coz ni pasi moja tu kutoka kati ya uwanja then mtu anakimbiza na kupiga goli, duh nimemkubali Gyan![]()
Ghana's Goal
Angola wanapendelewa kwa sababu ndio waandaaji wa haya mashindano hata qualification yao ilikuwa na kasoro pale walipowafanyia ubaya Malawi.
Imagine the possibility of Algeria playing Egypt in the semi-final!
Ebana Waarab wana moyo haoooooooooooooooo
Extra time where was a marking for Ivory Cost?