Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

Malezi na ukaribu ndio hutengeneza chemistry baina ya watu hasa mtoto na mzazi.

Kinyume na hapo ni uongo.

Mtoto ameshatengeneza chemistry na huyo mzungu,huyo mama hawezi kumata tena kwa mtoto.

Mtoto ana observe kila kitu tokea yuko mdogo,namna unavyomlea na kumtunza na kujitoa kwa ajili yake anaathirika na kukuona wewe ndio mtu.

Mama wa ethiopia awe mpole kabisa kwa sababu yeye ndio alidanganya.

I hope dada anjela atamfikiria hawezi kosa hata dola 2000$ za kumpa ya chai 🤔🤔😃😃😃
 
Uache ma pizza kapiyoka ukimbilie magimbi 🤣??? Tikeno muskino tacos, Chicken papurica ukimbilie dona migebuka?
 
kibaya zaidi ni kwamba huyo binti hata kama anajua kuwa huyo mzungu sio mamake kiukweli, amekuwa akiamini jolie ni mamake na anampenda huyo kuliko mamake wa kuzaa.
 
Mimi simlaumu huyo mama kwa kumtelekeza mtoto, namlaumu kwa kuwa kigeugeu.

Kama umeamua kumtelekeza mtoto, mtelekeze kimoja.

Siyo unamtelekeza halafu baadaye unamtafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…