Angekuwepo Baba wa Taifa

Yule mzee alikua si mtu wa mchezo mchezo. Hakyamungu huyu mkata umeme asingekua Rais.
 
Nyerere angekuepo mngesemaje mngemuambiaje angeonaje?
Nia tunayo nguvu nazo tunazo, uwezo tunao, angeonaje??

Nina Uhakika asilimia 2000 Nyerere angekuwepo angemwita Magufuli na Kumwambia Ajiuzulu. Nashangaa Mkapa Mwalimu Nyerere alipokuwa alimwachia Nchi Kama Mwangalizi Na Pia Mkapa Alikuwa very Strong Tangu Vita vya Id Amin alikuwa Right hand man wa Mwalimu lakini anakubali Kunywea!

Magufuli Ataharibu Nchi hii, Nilikuwa Mojawapo wa waliowashangaa sana Waliokuwa wanalilia Kikwete Amwachie Magufuli Uwenyekiti wa CCM, Nilishaona huyu Jamaa ni Tatizo. Angekuwa Kikwete bado ni Mwenyekiti wa CCM wangemdhibiti Kirahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom