Angekuwa wewe ungefanyaje?

Aisee ni sawa na mtoto wa miaka miwili anachora katuni na hajui iweje anazungushazungusha tu.
 
Hizi thread nyngn znatumalizia MB [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]sijaelew chochote duuuh
 
kuna jamaa alikuwa naye kwenye mahusiano anataka wakutane kesho jioni ili wayamalize ila ni ngumu na alishagazwa sana maana huyo jamaa keshaoa mke lakini bado anampenda na huyo mke wa jamaa anamjua na wanasali kanisa moja kibaya zaidi huyo jamaa hana aibu anaweza kumdhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…