Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,920
Najiuliza tu angekuwa ni kiongozi wa CHADEMA ndio ameingia katika kituo cha Clouds akiwa na vijana wa Red Brigades kwa style ile ya Makonda leo angekuwa wapi?
.
Hivi hata dhamana angepata?
Tusingemuona Sirro kwenye vyombo vta habari akieelezea tukio hilo?
Kuna tume ingeundwa kuchunguza sakata hilo huku kiongozi huyo wa CHADEMA akiwa uraiani?
Waziri wa Mambo ya Ndani asingetoa tamko?
UVCCM wangekaa kimya bila kutoa tamko la kulaani?
Leo hii tusingesikia watu wakiitwa magaidi?
NB:Chukulia ni mfano tu.