ANGALIZO: Mnaoenda KIU mtegemee Haya

ANGALIZO: Mnaoenda KIU mtegemee Haya

Fafanua basi isijekuwa wewe ni miongon mwa wale waliopigwa disko ndio maana unaponda.
Hebu toa sababu kwanini ni kibaya na hakifai mtu kusoma. Kuwa kama msomi basi sio maneno mengine toa nondo za kutosha.
Usiwe mgumu kuelewa soma kwa bidii, usiwe mvivu, tumesha fafanua sana hapo juu, na makala zilizopita, kina usajiri magumashi, ajira kupata ni ngumu, wanapenda fedha wanakufelisha maksudi ili wapate hela za supp,nk zisome? tutarudia mara ngapi kama tunaimba wimbo wa taifa, usio kuwa na chorus!

By the way ku disco ni kawimbo kadogo sana kwa msomi postively. unaweza kudiscodishwa maksudi kumbe ndo unapenyeshwa kwenye neema zaidi, weee vepe!
 
nilijuwa kama disko imehusika. Kipind naenda soma chuo X kenya nilikuw naskia maneno kama haya kwa watu ila nilipofika kule ikawa tofaut kabisa na nashkuru now nipo level nzur.
Sasa usajili magumashi unaujuwa wewe TCU hawaujuw mpaka wawaruhusu kuchukua wanafunzi.
Siku ya pili soma sana usipate disko.
 
Kwa anayekijua KIU cha Uganda kule Kansanga huwezi kushangaa haya. In short hakuna chuo hapo
 
Sasa usajili magumashi unaujuwa wewe TCU hawaujuw mpaka wawaruhusu kuchukua wanafunzi.
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
Ndo hapa patamu, panapo umiza wengi , TCU wanahusika sana ku miss lead wanafunzi, tena siyo tu kukupa go a head, but na mkopo waserikali unao. ujue mwisho wa siku hela hii utalipa wewe,
inawezekana TCU hawajui barabara au wanajua but wamekula cha juu. ukiwabana sana unaona kabisa hawa wana babaika.na wengi waliondika kwenda IMTU, IFAKARA, SOUTH AFRICA nk.

Mambo mengine ya kiserikali lazima ujiongeze, usiamini sana wenye madaraka ya vyombo vya serikali, labda kwa sababu ya jiwe wanaweza wakawa wamajirekebisha kwa kuogopa kutumbuliwa. Darasani sasa ni kichekesho mko 500 wanatumia vi- speaker vibovu ku Lecturize. mara umeme ukatike. mara redio imezimika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom