silent_soldier
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 193
- 62
KIU ilikuwa na Matatizo 30 Huku Tatizo Kuu likiwa Kutokuwa na Usajili kwenye Mabaraza ya Taalumu. Tatizo hili liligundulika mara baada ya watu waliohitimu Diploma ya Famasia kunyimwa Ajira na Wizara ya Afya kwa kigezo kuwa Mtaala wa masomo waliotumia haukupitishwa na Baraza la Famasia na NACTE.
Tulijitahidi sana kupambana lakini huwezi kupambana na mwenyesime ukiwe umeshika makali na yeye kashika Mpini. Lakini nendeni mkakomae, muwe wavumilivu lakini haya mtayakuta.
1. Mtalipia Suplimentary 30000 kwa somo
2. Mtakuwa wanafunzi 300 ndani ya Darasa moja
3. Mtafelishwa ili mlipe hela ya Sup
4. Hakuna huduma nafuu za Chakula msosi kuanzia 1500
5. Waalimu na Wafanyakazi wengi wa kigeni ambao wanadharau kwa wanafunzi
6. Uhiano mbaya wa idadi ya wanafunzi na resources mbalimbali hususani vifaa vya maabara
7. Kusoma bila kuwa na mtaalamu makini, hutapata kujua Prospectus ya chuo
8. Kujinunulia kila kitu
9. Waalimu kuuza Lab Manuals, na Dissection Guides kama mradi bila kuwa na manufaa yoyote kwa wanafunzi
Naomba mnaofahamu zaidi msaidie kuendeleza
10.