Angalizo kwa waliochaguliwa vyuoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo kwa waliochaguliwa vyuoni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ugoro, Sep 2, 2012.

 1. Ugoro

  Ugoro JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 413
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Jaman watu woote mliochaguliwa kwny vyuo vikuu tz na nje,,kwa wale fresh frm skul plz take cr na uendacho kufanya, mi ni mzoef chuon kwn np mwaka wa 3 sa iv,ili ictokee ukaja kujuta plz fanya kilichokupeleka chuo,nature ya vyuo vikuu vyote tz inafanana.kinachofanyika udsm ndo kinachofanywa sua.saut.tumain n.k,kwa akinadada chunga ucje ukawa gunia la mazoez maboy frnds wa kukutana nao chuo c watu,,hapa tulipo tunawawait kwa ham xna c wenyw twawaita kontena jipya yan mali mpya kwa maeneo yale,tambua wazaz na taifa limeku2ma ucje kuvunja ahad.pombe.disko na starehe vipo xna bt ucji4get.bt ol in ol kwa wote waliochaguliwa Ruaha university ntakua mwnyj wenu mwaweza kunambia apa tukawacliana.
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  tumekupata jombaa..!
   
 3. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Andika maneno sio wote tunaelewa vifupisho vyako
   
 4. Ugoro

  Ugoro JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 413
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  C lazma uelewe kwa kua haikuhusu
   
 5. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni Ugoro.
   
Loading...