Angalizo kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

Hoja Zako Ni Nzito Na Zina Mashiko,Ni Hoja Zenye Maana,Zijawaho Ziona Kama Hizo Hapa JF.
 
Maoni yako hata mimi nayaheshimu na nina kubaliana nayo kwa kiasi kikubwa.Kumtaja muhusika wa Richmond hapo sikubaliani na wewe kwaniMh.Lowassa alikula kiapo wakati alipokuwa mtumishi wa serikali na hatakiwi kuvunja hicho kiapo.Niwaombe tu hilo tuliache tuwekeze katika kuhamasishana kwenda kupiga kura na kudumisha amani na utulivu.Tukishapiga kura tuondoke maeneo hayo na turudi majumbani.
 

Pamoja sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…