Mkuu mimi nawewe nani kala viroba au unatumia device za kichina nimekuwekea maana umeshangilia Kagame kuwauwa hawa!
Mkuu naona station iliruka meter band pole mkuu kwa shambulio ina mkuu Gama ni dhahiri umeona limuvi la kazi ya mukulu wako!mpaka sasa sijajua nani kala viroba, ila naona umwshindwa kuona ama kusoma vizuri bandiko langu; nisababu ya viroba nini?!!!
Tukusaidie je mkuu!Sioni kitu
Ndiyo BossNi nani huyo Col.Mamadou..??