Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

Naona anawaangalia EL na mkewe kwa jicho la kupendezwa na wanavo kumbatiana..... kwi kwi kwiiiii.....
 
hatuwezi jua labda alikuwa ana kazi maalumu
 
Kuwa profesa si kuwa na akili, ni kuweza kufanya tu kitu kidogo mno kwa usahihi
Lipumba mnafiki wa kweli na ndio maana hakutaka kubaki kwenye UKAWA iliyokuwa na kila dalili za unyonyaji, mfano mdogo kwenye Kura za URAIS WA UKAWA kupitia CDM, CUF bila shaka walikua na kura zao pia, je wanapewa ruzuku yeyote itokanayo na kura zile ambayo inaingia CDM tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…