Angalia umri wako, upo sahihi, Umekosea, Unahitaji kujirekebisha?!!!

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
20 - 25 = Kama ni kielimu hujafikia malengo yako,
sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya
kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi
urudi shule kwa pesa yako.
25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau KAZI RASMI
kama umeajiriwa au umejiajiri au una shughuli
yeyote ya kukuingizia kipato.
30 - 35 = Uwe na angalau kama sio nyumba basi
kiwanja, tena ujitahidi uwe umeoa/umeolewa. Ni
vema ukiwa na familia, kwa maana ya kuwa na
watoto kama Mungu kakuwezesha.
35 - 40 = Ni wakati kiwanja kiwe kimejengwa na
kama ni tayari basi nenda step nyingine ya
kumiliki kama ni Gari au kuongeza nyumba na
hakikisha vinaenda sambamba na ongezeko la
familia. Hapa inabidi upambane sana kuweka
misingi.
40 - 45 = Ni umri wa masahihisho, kama
hukuwahi kununua kiwanja, kama hukujenga basi
hapa pambana afe kipa afe beki, ni umri wa
masahihisho. Ila kwa wale ambao wameenda
vizuri huko nyuma basi hapa watoto wapo
kwenye level tofauti za elimu, kwahiyo ni muda
wa kuwawekea malengo ya kimasomo watoto
wao.
45 - 50 = Kwa yule ambae hakukosea huko
nyuma basi umri huu ni wa kuanza
kuwatengenezea mazingira watoto wako, kama ni
shughuli zako ni kuanza kuwahusisha, huku wewe
ukijiweka pembeni taratibu na kuangalia fursa za
umri wako. Lakini kwa wale waliokosea hapa ni
kupitia zile hatua za 35 - 40.
50 - 60 = Ni kujiandaa na maisha mapya ya
kustaafu au kujiweka mbali na kazi zinazotumia
nguvu au akili nyingi
60 - 70 = Kula matunda yako huku ukiangalia
misingi ya wanao inaendaje.
70 - 80 = Kula matunda
80 - nk = Umri wa kusubiria mauti
Yote kwa yote, maisha yetu yapo mikononi mwa
MUNGU, kumbuka kufanya Ibada wakati wote...
 
IMG_1159.JPG
Obama kastaafu na miaka 54, Trump kaanza na miaka 70! What you think is what you get! Sky is not a limit!
 
Hapo ulichoweka ni what the society expect from you..Maisha hayana formula. Na kwanini nyumba inaonekana ndo mafanikio pekeee yaani umezaliwa kuja kujenga nyumba tu????? Sijaona mahali umezungumzia kuwa na vitega uchumi mbali mbali umezungumzia tu kujenga nyumba:D:D:D
 
Pale ambapo una miaka 35 bado upo kwenu ukiulizwa nini unasema nasubiri ajira
 
Katika maisha unaweza kula raha leo ukakomaa kesho au unaweza kukomaa leo ukala raha kesho,kila kitu kinawezekana sio lazima fursa zote zifunguke leo tena kwa mpangilio,kitu muhimu ni kupambana kupambana kupambana.
 
Miaka ni namba tu hazina uhusiano wowote na mafanikio....Wapo wanaofanikiwa katika umri mdogo wengine umri mkubwa na wengine umri wa uzeeni...muhimu weka malengo ya kila siku ya wiki,ya mwezi,ya mwaka na Miaka.Hakikisha unatumia muda wako vizuri kwa mafanikio.Pambana kwa kila sekunde.Fanya Ibada
 
endelea kula ugali was mama nyumbani wenzio tunazitafuta pesa
 
Katika maisha unaweza kula raha leo ukakomaa kesho au unaweza kukomaa leo ukala raha kesho,kila kitu kinawezekana sio lazima fursa zote zifunguke leo tena kwa mpangilio,kitu muhimu ni kupambana kupambana kupambana.
safi sana kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom