Thanks! Ila hii ya mandela road inakamata bati la nyumba ya mtu, barabara inaonekana kipande kiduchu sana kiasi kwamba sidhani kama unaweza ukapata picha halisi ya traffic. Mkuu, hizo camera zimefugwa lini barabarani?
suggestion: 6 seconds interval ni fupi sana, kama inawezekama, pawe na option ya kuchagua interval... Hiyo inammanisha kuwa, old records zinaweza kuchezeshwa kama video...
Hii tool inaweza kusaidia traffic wakati magari "yanaposalimiana".
Hii ni nzuri inaweza kusaidia kujua upite barabara gani kabla ya kutoka ofisini au nyumbani. Lakini Tazara junction imegoma kuonyesha kabisa sijui tatizo liko wapi.