Angalia tofauti

Nimekubali sawasawa kabisa message delivered -wanaosheherekea wamepata ujumbe mkuu. Katiba mpya itatupatia uhuru wa kweli
 
Hali ya kipindi hicho ilikuwa nafuu kuliko leo hii! lakini mwisho utafika tu na sisi wanyonge kuwa Huru
 
Nakumbuka wakati fulani Nyerere aliwafukuza wanafunzi wa UDSM kwa kusema "afadhali serikali ya mkoloni". Angekuwa hai angekuzukia na wewe labda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…