Angalia soma chukua hatua

duh, nafasi ya mpenzi wa kwanza ni kubwa sana kwenye lifestyle ya mapenzi hasa kama ulianza kwenye umri mdogo.


Umeongea point ya msingi sana lakini yenye ukweli nusu tu. Sometimes, mpenzi wa kwanza huwa hana nafasi wala umuhimu wowote kwenye lifestyle au maisha ya mtu.
 

Nimpanga wa kukaya! Zya nsiku? Nakubaliana na wewe kabisa binadamu tumekuwa na roho ya kinyama kuliko hata shetani!Kweli kabisa wapo watu yanawakuta tena mengine makubwa zaidi ya haya!
 
Nikifikiria sana hiki kiumbe kinachoitwa mwanaume huwa nafika mbali sana

bt huna budi kupiga moyo konde na kuendelea na maisha.Ila smtz wanaua mtu bila ya wao kujua

Dunia ndivyo ilivyo na Walimwengu wake waliomo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…