Heshima hakuna Bungeni; Enzi za Chief Adam Sapi Mkwawa kama Spika kulikuwa hakuna Mchezo; kulikuwa na Utaratibu wa kukaa Bungeni; Utaratibu wa Mavazi Bungeni na Pia jinsi ya kufurahia au kupinga Jambo; alikuwa Mkali na alijua Sheria za Bunge.
Sio Sasa hivi Sisi Vijana tumevamia hatupewi Msaada wa Maana wa Jinsi ya Kujiheshimu Bungeni karibia tutakuwa kama Bunge la Ukraine...

Hakuna lolote la ajabu/baya hapo... Jamaa amepose tu akiwaza namna ya kulipua bomu lingine kwa hawa wachovu aka sisiem maana madudu yao ni mengi sana!!
Bunge la Uingereza na Bunge la Marekani wana Sheria kali kwa Wabunge wao na Bado wanatoa Hoja kali na hata kushitaki Rais wa Nchi...
Wakati wa Adam Sapi - Ndio wakati huo tu Waziri alijiuzulu kwa Hiari yake sababu ya Matatizo; haijawahi kutokea tena hadi leo hii, Ni Rais Mstaafu Mwinyi alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
Sheria za Bunge zilikuwa kali na safi kwa kuwaeleza Mazuri na Uwajibikaji; Nani Sasa hivi watafanya hivyo?
Mungu saidia hilo lisije tokea daima, atalala na kuota tena kwa kupiga kelele kwenye mikutano ya kimataifa, ataaibisha na kufedhehesha Taifa langu la Tanzania.