Suala la kufelishwa kwa wazaznibari mimi siliafiki kabisaaaaa,,,,na wasihusishe na uzanzibari wao wala uislam wao,,,,,jaman waislam wangapi tumepita kwenye mikono ya NECTA?????wazenj wangapi wamepita huko????mimi nachukia sana muislam mwenzangu anapolalama eti tunaonewa na kila siku nasema na ntasema sana,,,,mimi ni mwalimu na nnafundisha taasis ya kiislam,,,,,MATATIZO YAPO NDANI YA TAASISI ZETU,,,,SI NECTA ,,,,,wazaz wa kiislam wajipange,,,kuna wazaz hawajafata ripot za watoto zao,,,,hadi leo tena za mwaka jana mwezi JUNE,,,kuna mwanafunz wangu mmoja babake hajui anasoma shule gani na form ngapi(si ucheshi huu),,,,mzaz huyu nae atasema waislam wanaonewa mwanaye atakapofeli,,,,,nimesoma islamic school na nnafanya kazi huko,nazijua ndani nje,,,,hakuna wa kumlaumu,,,,jaman msimlaum ndalichako jamani,,,,wazenj uvivu wenu wa kusoma msiuhushishe na muungano,msiuhushishe na mambo ya ukristo,jaman someniiiiiii,ukisoma utafaulu tu,,,hakuna miracle,,,,EDUCATION IZ WAR,,,,pambaneni