Hebu cheki Japan ilivyokuwaga katili dhidi ya China na mataifa mengine ya Asia. Ilikuwa katili km Ujerumani na iliua wachina milioni 26; ila watu bado wanaiomea huruma kupigwa mabomu ya nuclear ambayo yote yaliua watu km 200k tu when wao wameua mamilioni
Sisi tunajua waarabu ndio wakatili, wazungu waliokata mikono wacongoman 1M , kuzika wahehe 800 kaburi moja wakiwa wazima hawa sio wakatili, waliopeleka majeshi kuvamia Libya, Iraq, Afghanistan, Vietnam, Syria, Bosnia hawa ni wanademokrasia au niaje

MUARABU MWEUSI WA BUZA KWA MPALANGE KIJUKUU CHA MUDY TOKA MABWEPANDE,SUNNI FROM TANDALE KWA MTOGOLE ALIESAHAU NI MAUAJI MAKUBWA YALIYOWAHI KUFANYWA NA KINA SADAM HUSSEIN NA COs