Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 36,945 Reaction score 49,452 Mar 31, 2020 #21 mzabzab said: Acha zako wewe mwanamke mzuri na chura juu akaolewe na kapuku hio mie nataka niione. Mzuri namba moja wa tz aliolewa na bionea mbona hakuchukuliwa na kapuku Click to expand... Unaweza ukapata Mrembo wa kuoa hata kama ni kapuku muhimu nyota tu..πππ
mzabzab said: Acha zako wewe mwanamke mzuri na chura juu akaolewe na kapuku hio mie nataka niione. Mzuri namba moja wa tz aliolewa na bionea mbona hakuchukuliwa na kapuku Click to expand... Unaweza ukapata Mrembo wa kuoa hata kama ni kapuku muhimu nyota tu..πππ
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,172 Reaction score 90,512 Mar 31, 2020 #22 Proved said: Unaweza ukapata Mrembo wa kuoa hata kama ni kapuku muhimu nyota tu..πππ Click to expand... Nalo neno nyota muhimu Bora kuzaliwa mwenye bahati kuliko mwenye kipaji
Proved said: Unaweza ukapata Mrembo wa kuoa hata kama ni kapuku muhimu nyota tu..πππ Click to expand... Nalo neno nyota muhimu Bora kuzaliwa mwenye bahati kuliko mwenye kipaji
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,580 Reaction score 18,952 Mar 31, 2020 #23 Kabisa.... Superb2014 said: Inapendeza sana wote mkianza pamoja. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa.... Superb2014 said: Inapendeza sana wote mkianza pamoja. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,156 Reaction score 14,116 Mar 31, 2020 #24 Equation x said: Mkuu tusikimbie ukweli,wenzetu wana hisia kali sana kwenye mahusiano lakini huku kwetu hisia ni biashara Click to expand... Hili ni kweli kwa asilimia nyingi
Equation x said: Mkuu tusikimbie ukweli,wenzetu wana hisia kali sana kwenye mahusiano lakini huku kwetu hisia ni biashara Click to expand... Hili ni kweli kwa asilimia nyingi
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,974 Reaction score 61,797 Mar 31, 2020 #25 Drone Camera said: Hili ni kweli kwa asilimia nyingi Click to expand... Kwa asilimia kubwa huku kwetu,mtu anakupa hisia zake kutokana na vitu,mfano fedha,mali n.k
Drone Camera said: Hili ni kweli kwa asilimia nyingi Click to expand... Kwa asilimia kubwa huku kwetu,mtu anakupa hisia zake kutokana na vitu,mfano fedha,mali n.k
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,156 Reaction score 14,116 Mar 31, 2020 #26 Equation x said: Kwa asilimia kubwa huku kwetu,mtu anakupa hisia zake kutokana na vitu,mfano fedha,mali n.k Click to expand... Yah ni kweli huku kwetu ukiwa navyo unawapata easy kabisa ila wale wenzetu wagumu kutoa aisee labda urafiki.
Equation x said: Kwa asilimia kubwa huku kwetu,mtu anakupa hisia zake kutokana na vitu,mfano fedha,mali n.k Click to expand... Yah ni kweli huku kwetu ukiwa navyo unawapata easy kabisa ila wale wenzetu wagumu kutoa aisee labda urafiki.