JosephNyaga
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 291
- 232
Katika dakika ya 41 ya fainali ya Kombe la Carabao kati ya Manchester City na Aston Villa, Villa walipewa zawadi ya goli moja na Mbwana Samatta, goli alilofunga kwa kichwa. Hata hivyo Man City iliibuka kidedea kwa kuichapa Villa magoli 2-1
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app