Angalia final ya Yanga Vs Usm kupitia simu

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
Unahitaji kutizama mpira kupitia simu yako.

Leo nakuambia njia rahisi ya kuweza kutizama mpira live kwenye simu yako kati ya Yanga Vs Usm final ya kimataifa Zaidi

Hii ni Zaidi ya UEFA ya kiafrika tena kinapigika Benjamini mkapa uwanja wa machinjio unasubiria nn kwa mb 100 mpaka 500mb utaweza kuangalia full mechi


Gusa link iyo ukaangalie [emoji116][emoji116]


Si unajua Teknolojia ni Yetu sote [emoji3060][emoji3060]



 

Attachments

  • Smile_it_s%20photo%20time%20--___TotalEnergiesCAFCC(Image0).JPG
    56.6 KB · Views: 13
Teknolojia ni yetu sote lakini MB si zetu sote au sio..!
 
Mkuu hiyo link mbona haionyeshi mechi live? Kuna tangazo tu la karibia kama dakika 2 tu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…