Tafuta Ebay utapataMkuu mimi nasaka nipate zile Nokia za kajeneza zina rangi ya blue, basi. Naona hizi smartphone zinamambo mengi sana na matumizi yangu yanahitaji simu very basic, kupiga na kupokea simu, kutuma sms.
Mwenye hiyo simu original tuwasiliane.
Nokia 3310 Blue Silver Classic Factory Unlocked Cellular Original GSM PhoneMkuu mimi nasaka nipate zile Nokia za kajeneza zina rangi ya blue, basi. Naona hizi smartphone zinamambo mengi sana na matumizi yangu yanahitaji simu very basic, kupiga na kupokea simu, kutuma sms.
Mwenye hiyo simu original tuwasiliane.
Mkuu njoo nikuuzie hiyoMkuu mimi nasaka nipate zile Nokia za kajeneza zina rangi ya blue, basi. Naona hizi smartphone zinamambo mengi sana na matumizi yangu yanahitaji simu very basic, kupiga na kupokea simu, kutuma sms.
Mwenye hiyo simu original tuwasiliane.
Mkuu njoo nikuuzie hiyo
OK...hapa bongo nawezapata mtu wa kunisaidia kujail-break? Je kuna rist zipi katika zoezi zima la kujail-break?mkuu android sio salama hata kwa blackberry, na simu za blackberry zinatengenezwa na mchina TLC aka Alcatel hivyo hata hio build quality usitegemee ile ulioizoea ya simu kama kitofali kidogo. kama una ujuzi kidogo nunua iphone halafu jailbreak
mkuu android sio salama hata kwa blackberry, na simu za blackberry zinatengenezwa na mchina TLC aka Alcatel hivyo hata hio build quality usitegemee ile ulioizoea ya simu kama kitofali kidogo. kama una ujuzi kidogo nunua iphone halafu jailbreak
risk zipo ndio na kama huwezi achananayo tu.OK...hapa bongo nawezapata mtu wa kunisaidia kujail-break? Je kuna rist zipi katika zoezi zima la kujail-break?
so far operating system yenye usalama zaidi ni windows phone, ila sema microsoft mwenyewe ndio wameitekeleza na hakutoki lumia kwa sasa, nafkiri lengo lao ni hadi watoe surface phone 2017. mpaka hio surface phone itoke hakuna option za maana kwenye windows 10 mwaka huu.Kwa mtazamo wako ni simu gani kwa sasa ambayo ni salama?
hapana nakataa bbos ya zamani ilikuwa na security, na kwanini hacker wasii target? os iliokuwa na marketshare kubwa magharibi?Hii ni kawaida kwa kila kampuni ya simu siku hizi baada ya kuona they won't hit the target kwa kawaida uhamia Android.
Nokia nae alihamia Android pia kwa mbwembwe nyingi sana akijinadi na store yake binafs.
Kaka kitu Kikiishakuwa Open Source kitaendelea tu kuwa Open, na BlackBerry sio kwamba BB Os ndio ilikua bora sana ila hackers hawakuitarget sana BB. Take it to the head.
Ni Samsung model ipi mkuu??so far operating system yenye usalama zaidi ni windows phone, ila sema microsoft mwenyewe ndio wameitekeleza na hakutoki lumia kwa sasa, nafkiri lengo lao ni hadi watoe surface phone 2017. mpaka hio surface phone itoke hakuna option za maana kwenye windows 10 mwaka huu.
ila kama upo serious sana simu ya biashara ipo hp elite x3 sema bei yake ni dola 800, inarun software nyingi za kibiashara unaweza kuigoogle ukaona.
so far simu ya android ambayo ipo karibu na security ni samsung yenye knox na android 6. unatoa permission za app husika na kuinstall hio app ndani ya knox. hii itasababisha mtu atakaespy simu yako kuwa na kazi mbili kuhack simu na kuhack knox.
model nyingi za highend zina knox note4, note5, note7, s5, s6, s7, A series etc inategemea na budget ila zipo nyingi tuNi Samsung model ipi mkuu??
Iyo six jerry utanipa mm [emoji23] [emoji23]I will never get away from iPhone, waiting for i7[emoji12]
Kuna surface phone Microsoft anataka kuzitoaa??so far operating system yenye usalama zaidi ni windows phone, ila sema microsoft mwenyewe ndio wameitekeleza na hakutoki lumia kwa sasa, nafkiri lengo lao ni hadi watoe surface phone 2017. mpaka hio surface phone itoke hakuna option za maana kwenye windows 10 mwaka huu.
ila kama upo serious sana simu ya biashara ipo hp elite x3 sema bei yake ni dola 800, inarun software nyingi za kibiashara unaweza kuigoogle ukaona.
so far simu ya android ambayo ipo karibu na security ni samsung yenye knox na android 6. unatoa permission za app husika na kuinstall hio app ndani ya knox. hii itasababisha mtu atakaespy simu yako kuwa na kazi mbili kuhack simu na kuhack knox.