Panya mabakaIlikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.
Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.
Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.
Chadema ni dude kubwa huwezi shindana na chama ichi , alisema BABA LEVOIlikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.
Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.
Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.
Kwanini asije akomae kwenu UWT?Ilikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.
Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.
Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.
umeisoma hukumu?Hizo hukumu zinazotolewa kwa maoni binafsi ya judge badala ya kusema kifungu kipi cha sheria kimevunjwa ndio unaziamini?
Hii nchi bado ina wajinga wengi sana.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mdee kwenye utetezi wake aliwahi kusema alijua chama kitaacha mambo ya kutotambua uchaguzi yapite, ndio maana wakaona wajiongeze na wenzie kukimbilia kuapishwa kule gereji na Ndugai, matokeo yake majanga yakawakuta sasa kinachotokea ni kulindwa na serikali ya Samia chini ya mwamvuli wa mahakama.Mwenyekiti mhuni tu, anajua sana kilochotokea kwenye ubunge wa akina Mdee, yeye ndiye wa kupumzishwa.
Aisome kwa akili zipi?umeisoma hukumu?
Walikuwa na baraka zote za mwenyekiti.Mdee kwenye utetezi wake aliwahi kusema alijua chama kitaacha mambo ya kutotambua uchaguzi yapite, ndio maana wakaona wajiongeze na wenzie kukimbilia kuapishwa kule gereji na Ndugai, matokeo yake majanga yakawakuta sasa kinachotokea ni kulindwa na serikali ya Samia chini ya mwamvuli wa mahakama.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Upo nao UWT akina HalimaMwenyekiti mhuni tu, anajua sana kilochotokea kwenye ubunge wa akina Mdee, yeye ndiye wa kupumzishwa.
Kwenye hili naona wewe ndo mjinga. Kasome hukumu vifungu vimeorodheshwa. Acha mihemko wakati Mbowe anashangilia maokoto yana uhakika sasa hadi 2025.Hizo hukumu zinazotolewa kwa maoni binafsi ya judge badala ya kusema kifungu kipi cha sheria kimevunjwa ndio unaziamini?
Hii nchi bado ina wajinga wengi sana.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mlifanya objections?Hizo hukumu zinazotolewa kwa maoni binafsi ya judge badala ya kusema kifungu kipi cha sheria kimevunjwa ndio unaziamini?
Hii nchi bado ina wajinga wengi sana.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile
Chama nchi inatumia ujanja wa kitoto kwanini isitumie mbinu halali kuwapa ubunge kina halima Kwa mantiki hiyo chama nchi kinaiogopa chadema ndio maana inafanya mambo ya kihuniChadema ni dude kubwa huwezi shindana na chama ichi , alisema BABA LEVO
Mbowe ni baba lao hata bi mkubwa anajua ila wajinga wajinga Kama wewe ndio mnajitoa ufahamuHongera Mdee kwa kukomesha udikteta wa mbowe
Kutokana na hukumu ya Jaji mimi nilivyo muelewa wakina halima si wanachama wa Chadema na kamati kuu haikukosea na hata mkutano mkuu haukhaukukosea ila busara ndizo zilizo Muongoza Jaji kwa hiyo hilo ni swala la mda tu sababu CDM hawana tatizo na ubunge wa hakina Halima Mdee wao wanatatizo na uwanachama wao na mahakama imekubaliana na kamati kuu kuwa hawa siyo wanachama. Wao CDM wameshamaliza hilo siyo swala lao tena ni swala la Bunge kutegemea na interest zake Maswala ya kisiasa hata siku moja huwezi kuyaamua mahakamaniIlikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.
Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.
Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.