zipo Samsung Galaxy Y pro 5510. zinaanzia laki mbili na kitu.
sasa hapo mkuu tunaangalia command nyingi kama chatting na vitu kama hivyo vinaendaje. So far kwa simu niloitaja ni kuwa waweza itumia bila hata ya kugusa screen maana navigation key inafanya yote hayo so the choice is yours. so far ni good phones kwa mtu ambaye yupo so much acquainted to qwerty phones than touch screens.sjawah Kuona Androids Isiyoo Touch screen Maana Hata Hzo Galaxy Y Pro Na Htc chacha Zote Zna Touch Ila Still Na Screen Lazma Iwe Touch
zipo Samsung Galaxy Y pro 5510. zinaanzia laki mbili na kitu.
Htc chacha
hizi zinapatikana wapi mkuu
Kama upo Dar basi wewe nenda posta pale Harbour view tower (zamani JM Mall) kwa agent wa Samsung au nenda hata Hamidu City Phones pale posta karibu na sanamu la askari opposite na IPS buiding (jengo ambalo lina duka la S.H Amon pale posta)

shukrani mkuu
1. Galaxy Chat(250000tshs)
2. HTC Chacha(250000tshs)
3. Tecno Q1(150000tshs)
4. Tecno D1(150000tshs)
Nimejaribu kuweka picha naona nashindwa ila kwa maaelezo zaidi jaribu kugoogle
tuko tofuti. mm kunirudish kwenye cm zenye buttons sasa hivi, itachukua muda.
hizo zote unazipata kariakoo mtaa wa aggreyshukran mkuu, ila ni vizuri ungesema zinakopatikana pia
nami kiongozi huko nilishaaga long sana,kwanza najuta kutokununua touch screen mapema
Ukisha replace sensor kwenye touch mara kadhaa, ndio utajua utamu wa real keys not virtual keys.zile sensor zikifa zinakutoa machozi mzee simu linawaka lakini huwezi kufanya chochote!tuko tofuti. mm kunirudish kwenye cm zenye buttons sasa hivi, itachukua muda.
Yeeeuuwwiiii.... Tuko tofauti aisee, hivi mtu anawezaje kuweka thread ndefu JF kwa kutumia simu yenye button???