Androide kitkat

chokamb

Member
Joined
May 29, 2012
Posts
72
Reaction score
6
Salaam kwa wanajamii wote,ninawaombeni msaada kwenu,kama kuna mtu anajua jinsi ya kuweka Android KITKAT kwenye samsung s3.
 
kama umeroot simu zipo custom rom za kumwaga. mi nipo 4.3 kwenye s3 lakini inalag vibaya, inatake time kuwake simu, inshort haipo stable.

version nzur ya s3 ni ile ilio leak ya 4.2.2 ambayo iliifanya s3 kua kama s4. niliitumia ipo stable, fast na inafaa matumiz ya kawaida
 
Jamani mtumiaji mpya wa android,naomba kujuzwa hiyo android kitkat ni nini?

ni version ya android ambayo ni latest. kibongo bongo tunasema toleo jipya.

nenda kwenye simu yako bonyeza menu halafu setting halafu about angalia version ya android hiyo simu yako inayotumia.

ikiwa

-2.1 hiyo ni eclair
-2.2 ni froyo
-2.3 ni gingerbread
-3.0 ni honeycomb
-4.04 ni ice cream sandwitch
-4.1 hadi 4.3 ni jelly bean
-4.4 ni kitkat
 

Asante mkuu,tenth ni eclair.Hizo inaonekana kwamba iliyokuja ni bora kuliko iliyotangulia, ninamaanisha ya mwisho katika list hiyo ni bora kuliko zilizotangulia.Vp inawezekana ku upgrade(kutoka moja kwenda nyingine).
 
ya kwanza ni ndogo na ya mwisho ndio bora. ku upgrade nenda setting kisha about kisha software update angalia kama kuna update. kama hamna simu yako haiwez kwenda version ya mbele
 
nimeingia setting >about>software update> update now so naomba kujuzwa simu yangu inaweza kuhamia kwenye hizo android bora zaidi
 
i think better tusubitieni mpaka watatutumia update ya kitkat kwenye baadhi ya simu
 
ipo hio update?

ninapoingia kwenye update now inajibu no new uqdate found na inanitaka nijaribu tena baada ya masaa 24. Sasa sijui inaweza au la. Pia nijuze ku upgrade kwenda version nyingine ni sawa na rooting au rooting ni kitu kingine tofauti? Natamani kufanya rooting simu yangu nimeona faida zake nikaona itanisaidia maana simu yangu available space ni mb 160 nikiweka program chache tu naambiwa imejaa. Ombi lingine naomba mnijuze simu yangu inajizima na kuwaka muda mchache tu baada ya kuanza kutumia internet, tatizo limeanza juzi sijui nini tatizo.
 
Android KitKat ni Version mpya ya Android ambayo kwa simu mpya zinazotoka au zinazotarajia kutoka sasa hivi zinakuja nayo. Inshort KitKat ni OperatingSystem ya simu za Android, kabla ya KitKat kulikuwa na JellyBean ambayo mwisho wake imeishia 4.3.1!

Nadhani nitakuwa nimekujibu Muntu Ya Pori
 
Last edited by a moderator:
LAZIMA UWE ROOTED!
sababu mitandao yetu haipewi update hizo so kila mara unapoingia kwenye system update inakuambia "no update available for your phone"

Sasa hapo inakulazimu kufanya ROOT kwenye simu yako ili kuweza kudownload Custom Firmware kutoka kwenye website tofauti tofauti.

*Zingatia: kuflash CustomRom ambayo sio compatible na simu yako kuna weza break simu yako isiweze kutumika tena, so inabidi ujue unacho kifanya na kila step lazima izingatiwe!

KitKat ni nzuri ila bado hadi sasa haijawa stable maana hadi wakati huu zinazofanya kazi ni leaked modified version za AOSP (Android Open Source Project) so lazima itakuwa iko slow kwa baadhi ya sehemu ikiwa na Force Close kwa baadhi ya application.
 

asante mkuu
 
Last edited by a moderator:

ila kueka officiAl firmware si lazima uroot. mfano umeskia update ya s3 imetoka uingereza ambayo ni official unaidownload kisha unaflash tu na odin bila kuroot
 

kakA ujue mambo ya kuroot na kueka custom firmware ni very risk hasa ukiwa na simu ambayo ni version za nyuma kama eclair, froyo na gingerbread.

mi sikushauri kufanya kama hujui unalofanya.
 

asante kwa maelezo yakn mkuu. Mimi nataka nifanye hiyo ROOT so naanzaje kuroot my lg p506. Pia umesema zingawtia kuflash customRom ni nini hiki na unafanyaje kuflash hiyo kitu. Android zote zina customROM au ni baadhi au simu zote zina hiyo customROM. Nijuze mkuu niko nyuma ya Dunia ki technology
 
kakA ujue mambo ya kuroot na kueka custom firmware ni very risk hasa ukiwa na simu ambayo ni version za nyuma kama eclair, froyo na gingerbread.

mi sikushauri kufanya kama hujui unalofanya.

asante kwa ushauri. Lakini kunawataalam wa kuroot hata hizo simu za version za nyuma?
 

Nimeiangalia hiyo simu haiwezi kuwa ROOTED sababu uwezo wake ni mdogo.
anzia kwenye Optimus One au nyinginezo zenye uwezo mkubwa wa RAM au Processor, Root access itapatikana ukibadili simu :A S 39:
 
ila kueka officiAl firmware si lazima uroot. mfano umeskia update ya s3 imetoka uingereza ambayo ni official unaidownload kisha unaflash tu na odin bila kuroot

Sasa hapo kama unataka upate urahisi ni kudownlioad ROM zinazo support OTA update yaani zikitoka tu unapata notification na kudownload moja kwa moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ