Mkuu,Habari zenu ndugu humu ndani....nina refurb ya s20+ hapa 5g model inagoma kuupdate android version na security patches hapa last time inaonekana kuwa ni December 2020 so no new security updates na niko stack na android ten bado nikijaribu kuupdate napewa ujumbe huu hapa chini
Naomba msaada kwa anayeweza hii issue ili niendelee kuenjoy
View attachment 2038337View attachment 2038339View attachment 2038340
Thanks in advance ngoja nijaribu chiefMkuu,
Hii inaonekana ni version ambayo ipo Locked kwaajili ya USA.
Ambacho unaweza kujaribu kufanya ili kuona kama unaweza kupata updates ni;
1. Download VPN,
2. Chagua server ya USA,
3. Fanya update ya simu yako.
Kisha lete mrejesho hapa kama utakuwa umefanikiwa.
Ahsante!
Shukrani kiongozi....ila naona hii nayo imegoma.Mkuu,
Hii inaonekana ni version ambayo ipo Locked kwaajili ya USA.
Ambacho unaweza kujaribu kufanya ili kuona kama unaweza kupata updates ni;
1. Download VPN,
2. Chagua server ya USA,
3. Fanya update ya simu yako.
Kisha lete mrejesho hapa kama utakuwa umefanikiwa.
Ahsante!
Okay asante inabidi nikajribu.....ila vipi hakuna risk zozote naweza kuzipata kwa kufanya manual installation?Au hawa jamaa ni reliable?Mkuu ukishindwa hapo juu nenda kwenye website ya sammobiles huko wanazo update kwa ajili ya kudownload manually na wana kupa means za kuweza ku updae simu yako.
Mimi s9 plus nilidownload kupitia sam,nikaipiga fresh ila shida network ikawa inaishia 3g tu,,nilisikia hadi ufanye conversion ya rom hata sielewi ndo inakuaje kuajeOkay asante inabidi nikajribu.....ila vipi hakuna risk zozote naweza kuzipata kwa kufanya manual installation?Au hawa jamaa ni reliable?
Ushaambiwa is up to date sasa unatakaje?Shukrani kiongozi....ila naona hii nayo imegoma.View attachment 2040127
[emoji28][emoji28][emoji28]braza hii ni galaxy s20 + ambayo kiutaratibu ilitakiwa iwe na android version 11 since last year mwishoni.....na One UI 3.5 ambapo mwanzoni next year inatakiwa kuwa na android 12 so hiyo kusema is up to date wakati bado ina android 10 ndiyo tatizo lenyewe ninaloomba utatuzi.Ushaambiwa is up to date sasa unatakaje?
SM-G986U, hii ni version ya USA (Locked),
Tatizo ni hiyo refurb...Habari zenu ndugu humu ndani....nina refurb ya s20+ hapa 5g model inagoma kuupdate android version na security patches hapa last time inaonekana kuwa ni December 2020 so no new security updates na niko stack na android ten bado nikijaribu kuupdate napewa ujumbe huu hapa chini
Naomba msaada kwa anayeweza hii issue ili niendelee kuenjoy
View attachment 2038337View attachment 2038339View attachment 2038340
Mkuu ukishindwa hapo juu nenda kwenye website ya sammobiles huko wanazo update kwa ajili ya kudownload manually na wana kupa means za kuweza ku updae simu yako.