bei......Guys..I have few android Tv boxes (4K Players) that i am selling, if any of you is in need of one, he/she may give me a call. The Players are of different models, i have mxq-pro, x96 mini, v88 scishion and many more. Most of them are running the latest android version (Android 7.1 Nougat) ranging from 1gb ram and 8gb rom to 3gb ram and 32gb rom. View attachment 703328 View attachment 703329 View attachment 703330
125,000 kwa yenye ram ya gb 1 na internal ya gb 8 na 147,000 kwa yenye ram ya 2gb na internal ya 16gbprice?
hahaha! sawa mkuu naomba tusameheane! nitarekebisha hilo suala! Nashukuru kwa ushauri!Kwa hiyo lugha uliyoandikia sio rafiki kwa wengi, ni njia mojawapo ya kukupunguzia wahitaji.
umeniwahi kuuliza mkuu...SaluteNdio madude gani Haya?
Sawa mkuu nisamehe bure nitakurudia kwa maelezo zaidi!! kuhusu bei na specifications!Weka maelezo ya msingi, acha maneno!
125,000 kwa yenye ram ya gb 1 na internal ya gb 8 na 147,000 kwa yenye ram ya 2gb na internal ya 16gbbei......
unapatikanaje125,000 kwa yenye ram ya gb 1 na internal ya gb 8 na 147,000 kwa yenye ram ya 2gb na internal ya 16gb
daah nimekuelewa mkuu! haina tatizo nimekusoma! kuhusu bei...Weka bei mimi yangu imekufa jana tuu, ninaweza nikawa mteja wako lakini kama unataka siasa we enedelea na mchezo wako huo wakuandika andika kiingerza wakati huna hela,hujui kuwa kiingereza kingi bila hela ni sawa na kuongea kijaluo.
Inatumikaje mkuuGuys..I have few android Tv boxes (4K Players) that i am selling, if any of you is in need of one, he/she may give me a call. The Players are of different models, i have mxq-pro, x96 mini, v88 scishion and many more. Most of them are running the latest android version (Android 7.1 Nougat) ranging from 1gb ram and 8gb rom to 3gb ram and 32gb rom. View attachment 703328 View attachment 703329 View attachment 703330
Nahitaji unapatikana vipi?Guys..I have few android Tv boxes (4K Players) that i am selling, if any of you is in need of one, he/she may give me a call. The Players are of different models, i have mxq-pro, x96 mini, v88 scishion and many more. Most of them are running the latest android version (Android 7.1 Nougat) ranging from 1gb ram and 8gb rom to 3gb ram and 32gb rom. View attachment 703328 View attachment 703329 View attachment 703330
hii sentensi ongezea juu apo kwenye post yako, ili wengine wasiulize bei tena125,000 kwa yenye ram ya gb 1 na internal ya gb 8 na 147,000 kwa yenye ram ya 2gb na internal ya 16gb
125,000 kwa yenye ram ya gb 1 na internal ya gb 8 na 147,000 kwa yenye ram ya 2gb na internal ya 16gbUnAweka na bei