Android N official Name

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
514
Google has revealed Android N official name "NOUGAT"

afda7322135fefa2e27f2b17865eb9ec.jpg
 
Hii Android N ni nn hasa
Android ni mfumo wa uendeshaji simu(operating system) ambao unamilikiwa na kampuni ya Google, na mfumo huo una matoleo mengi kama vile (Eclair,froyo,gingerbread,jellybean,kitkat,lollipop,marshmallow) na toleo jipya ni Android N ambalo limepewa jina leo hii na kampuni husika yaan Google ,kwa jina la "NOUGAT".
 
Kwanini wanatumia majina ya vyakula?
utamu utamu utamu wanafananisha utamu unaoweza kuupata kupitia aina ya chakula kilichofananishwa na mfumo huo.

wangetumia majina ya mambo mengine kma tendo la ndoa huwenda tungekua na

ANDROID V na
ANDROID P

ahhaahahah
 
Android ni mfumo wa uendeshaji simu(operating system) ambao unamilikiwa na kampuni ya Google, na mfumo huo una matoleo mengi kama vile (Eclair,froyo,gingerbread,jellybean,kitkat,lollipop,marshmallow) na toleo jipya ni Android N ambalo limepewa jina leo hii na kampuni husika yaan Google ,kwa jina la "NOUGAT".
Umesahau Battery sever..
Marshmallow
 
Back
Top Bottom