Ipo play store?Poweramp ni balaa sana
Kweli ipo vizuri mkuuJe ni apps gani bora ya kuplay music offline yenye Equalizer nzuri kwa simu janja kati ya hizi Poweramp Music Player, N7 player, NRG player & Jet audio player!!?
Kwangu poweramp music player haina mpinzani..
View attachment 1654310
Mkuu jaribu kutumia poweramp iko poa sanaNimeziona zote, Poweramp pamoja na jet player!! Ingawa Jet player ina ads kitu ambacho binafsi ninakereka nacho sana, lakini inakitu flani hivi tofauti ukilinganisha na Poweramp ambayo naona watu wengi watasema ni nzuri labda kwa sababu ya "skin" zake!
Zote hizo mbili kwangu mimi bado naona zitasubiri sana kwa AIMP. Iko poa na ni very simple. Unaweza ukaijaribu na kuiona! Ila ubaya wake ni audio player tu, haichezi video!
Asante!
hizo zote zinahitaji kuziset,sio unachukua tu playstore.Nimeziona zote, Poweramp pamoja na jet player!! Ingawa Jet player ina ads kitu ambacho binafsi ninakereka nacho sana, lakini inakitu flani hivi tofauti ukilinganisha na Poweramp ambayo naona watu wengi watasema ni nzuri labda kwa sababu ya "skin" zake!
Zote hizo mbili kwangu mimi bado naona zitasubiri sana kwa AIMP. Iko poa na ni very simple. Unaweza ukaijaribu na kuiona! Ila ubaya wake ni audio player tu, haichezi video!
Asante!
Iwe basi humuNnayo ambayo si ya kulipia
Poweramp.. VlcJe ni apps gani bora ya kuplay music offline yenye Equalizer nzuri kwa simu janja kati ya hizi Poweramp Music Player, N7 player, NRG player & Jet audio player!!?
Kwangu poweramp music player haina mpinzani..
View attachment 1654310
Tuma apk humu tuichukueNnayo ambayo si ya kulipia