Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
kulingana na kura zilizopigwa na maeditors,+authors wa web ya cnet.com wameonelea hivyo binafsi nakubaliana nao,pitisha macho juu ya hiyo video then acha comment chini ya hiii thread
Prizefight: iOS 6 vs. Android Jelly Bean | Prizefight - CNET
android ina app nyingi sana,
android ni ya pili kwa apps ikiwa na 700,000+ apps, hazijapishana sana na IOS ikiwa na 800,000+ apps (2013),,android ina app nyingi sana,
android ni ya pili kwa apps ikiwa na 700,000+ apps, hazijapishana sana na IOS ikiwa na 800,000+ apps (2013),,
si kweli android haina apps nyingi kuishinda ios labda mtu anaetoa reason ya customization yupo sahihi
na hapo lime pie bado haijatoka am sure kutakuwa na great improvement kati yake na jelly bean ,najua ikitoka hiyo apple atakuwa kapigwa bao la kisigino
tatizo la android malware ndo mana unakuta owner wengi wa android wanaitumia kuchezea chezea mtu akitaka kitu cha maana ananunua blackberry au ios.
Umeshawahi kuitumia mkuu au unasema tu?
tatizo la android malware ndo mana unakuta owner wengi wa android wanaitumia kuchezea chezea mtu akitaka kitu cha maana ananunua blackberry au ios.
nasema tu we umewahi?
tatizo la android malware ndo mana unakuta owner wengi wa android wanaitumia kuchezea chezea mtu akitaka kitu cha maana ananunua blackberry au ios.