Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
hii technolojia imefikia pabaya..bado kusikia wanatoa TV ina android
kuna hawa jamaa wasiotaka kuona wenzao wana vitu vizuri washaidaka hio technologia soon samsung galaxy ambayo itakua powered na 16mp shoot and point camera. Mi najiuliza swali why samsung hutoa vitu vizuri pale wenzao wanapoanounce je ni kweli hawa ni copy an paste? Oneni hii simu
ipo siku tutaletewa mwanamke ana android machine....mhahahahahhahahahahahaahaha
Sasa Chief hii tutaiitaje? Simu yenye camera ama Camera yenye simu.
naitazama lakini siimalizi hata.
Mkuu NingaR, sometimes huwa nawaza 5 years to come teknolojia itakuwa imefikia wapi, nasshindwa kupata majibu.
html5, game developers, motion sensing devices, maybe web 3.0, mara apple, huku microsoft, Google nao wamo.
rom chogo Tv to LED to ..I don't know what.
Ee Mungu tunaomba uzima tushuhudie haya mabadiliko.
Naomba kueleweshwa ukisema android unamaanisha ni aina ya cm (make) au OS au kitu gani..?
ila neno android maana yake robot
Naomba kueleweshwa ukisema android unamaanisha ni aina ya cm (make) au OS au kitu gani..?