ANDROID BOX TV

ANDROID BOX TV

kidudula

Senior Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
130
Reaction score
108
Naombeni kujua hii kitu ni nini na ina faida gani kwenye ulimwengu wa TV
25be6bfa5cc8d91b8f8dafd03bbce0ae.jpg
wazee maana naona zina trend sana siku hizi
 
zinaifanya TV yako kuwa Smart TV!

Ila hata kama una smart TV na hai run android hii android tv box ina uwezo zaidi maana inakupa Room ya ku install applications nyigni zaidi kama Kodi au Mobodro ambazo zitakusaidia ku stream tv mbali mbali ila zaidi waweza install games kwa wale wapenzi wa games.
Mambo ni mengi zaidi unaweza kufanya hicho kifaa!
 
mi ninayo niliagiza ebay... ni mxq 4k tv box... toka imefika sijaangalia dstv kabisa... nashinda youtube tu kila nikirudi from job...

nimeacha kabisa kulipia dstv... mechi na stream tu
 
Lakini hiki kifaa sehemu ulipo inatakiwa mtandao uwe vizur?
 
ndio inahitaji sehemu ambapo kuna 4g... kabla hujanunua jitahidi uwe unakaa karibu na mnara wenye 4g.. nina ndugu zangu walikomaa nao niwaagizie wakanipa hela zako nikaagiza.. ila hawavitumii kabisa maana network haina spidi wanapoishi

Lakini hiki kifaa sehemu ulipo inatakiwa mtandao uwe vizur?
 
mi ninayo niliagiza ebay... ni mxq 4k tv box... toka imefika sijaangalia dstv kabisa... nashinda youtube tu kila nikirudi from job...

nimeacha kabisa kulipia dstv... mechi na stream tu
Ebay wanauza shi ngap kaka
 
Ebay wanauza shi ngap kaka

kaka umeshindwa hata kugoogle uingie e bay uone bei zake... hakuna bei maalumu ni kama tv kuna sony, samsung, hitachi etc..

kwa aina ambayo nilinunua mimi,,,,hadi ifike kila kitu mimi kilinigharimu 280,000 kwa aina niliyonunua.. vipo vya cheap zaidi..

mi nilinunua pound 80 ebay..
 
3g vipi haiwezi kutembea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi ninayo niliagiza ebay... ni mxq 4k tv box... toka imefika sijaangalia dstv kabisa... nashinda youtube tu kila nikirudi from job...

nimeacha kabisa kulipia dstv... mechi na stream tu

mkuu, nikiinunua itabidi niweke sim card na niunge vifurushi vya internet hivi tunavounga kwa simu ndio niitumie ? na je kama ndio hivo inawezekana nikaunga bundle ile ya youtube tu na ika function ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom