AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Nna cm kama 3 za android ambazo nlizi soft brick wakat nlpoziroot na kutaka kuinstall fonts, zikaingia kwa bootloop mode, kwamb ile bootanimation inaendelea tu kuwepo na cm haiwaki ikamaliza, na pia button zote znakuwa unfunctional kias hata ukitaka kuizma haiwezekan labda utoe betri.
Sasa kuna jamaa yangu kashika cm 2 kazwasha na sahz n nzma na znatumika, lakn nlpomulza kafanyaje, akanijib ati hajui ni bahat tu na kwamb hawez kusema wala kuelezea mpk awe na cm mbovu afanye!
Najua kuna way ya kuzi bypass na kuziwasha kwa kutumia hardware buttons na kuingia recovery,lakn nimechemka!
Kama mtu anajua, pls pls anisaidie, nashndwa itumia cm nnayo kwa uhuru mana ikizingua itabid kuipeleka dar ikarekebishwe!