Android app ya Methali za Kiswahili

angalia mambo haya.

1. kwenye icon imeandikwa swahili ni bora ungeandika methali na icon pia ubadilishe ikae kimethali zaidi
2.ule msemo wa mandela ungeutafsiri ukaja kwa kiswahili ingependeza sana
3.sijaona menu wala category wala list ni vyema ukaeka ili mtu aweze kubrowse methali zote kwa urahisi. mfano nimeona methali A baada ya siku 3 nataka kuitafuta tena methali A nitaipataje? sababu app yako inadisplay random
4.umezifasiri kingereza zile methali lakini naona umekosea kosea either tafsir vizuri au ondoa kabisa kingereza
5. methali ni kitu rahisi kila mtu anaweza tengeneza app ya methali inabidi uwe na database kubwa ya methali ili uweze kushindana, na pia ujue unashindana na vitabu why mtu aache kumiliki kitabu cha methali adownload app yako?
 

Ayafanyie kazi haya mambi ni yamsingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…