kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,303
- 6,123
Hello bosses.
Nina mambo kadhaa ya kushiriki na android developers
1)Kwenye projects zako mpya jitahidi kutumia data binding library kwa sababu itaondoa haja ya kuandika mara kwa mara 'findViewById()' coz kama una project kubwa basi huwa kuna tatizo la kuaccess widgets mara kwa mara kwa kutumia hio 'findViewById()'
Pia data binding inaondoa zile run-time errors zinazotokea kwa sababu ya kushindwa kulocate widget ilipo kwenye layout files
2)Punguza idadi ya activities kwa kutumia activities chache pamoja na fragments. Hii itasaidia kufanya app yako i-run faster na isitumie RAM kubwa sana. Wengine huona vizuri kutumia activity moja tu pamoja na fragments kadhaa.
3)Kama una mda free atleast 20 mins a day jifunze Kotlin coz google wanailendelea sana kotlin ukilinganisha na Java android
"Learn something new, code something Great"
Happy Coding
~Kali Linux