A Ayubu Member Joined Apr 6, 2009 Posts 17 Reaction score 17 Dec 26, 2011 #1 Wadau google imetoa os mpya ya android na iko ndani ya simu mpya ya samsung galaxy nexus. Japokuwa samsung wamesema wata update samsung galaxy s2 mwanzoni wa mwaka 2012 je kuna mtu ameweza kuupdate samsung galaxy s2 kwa kutumia un official versions?
Wadau google imetoa os mpya ya android na iko ndani ya simu mpya ya samsung galaxy nexus. Japokuwa samsung wamesema wata update samsung galaxy s2 mwanzoni wa mwaka 2012 je kuna mtu ameweza kuupdate samsung galaxy s2 kwa kutumia un official versions?