Kuna baadhi ya mabadiliko ya APIs na kuna baadhi ya feature pia.
Hii ni developer preview kwa maana kuwa ipo basic sana na features nyingi bado hazijafika. Lengo lake hii ni kuwapa developers nafasi ya kutest API zao
More info:
Wenye simu ya Google Pixel or Android studio wanaweza install sshv na kutest