Bwanga Member May 26, 2010 46 6 Nov 2, 2010 #1 Wadau tunaomba mtupe details za mzee wa vijisenti, ana hali gani jimboni kwake??
TUKUTUKU JF-Expert Member Sep 14, 2010 11,765 4,033 Nov 2, 2010 #2 Amekaliwa kooni na UDP!anapumulia mashine!!!
Kachanchabuseta JF-Expert Member Mar 8, 2010 7,269 675 Nov 2, 2010 #3 wadau wansema anaelekea kuanguka lakini Chama Cha Machakajuaji (CCM) Na NATIONAL ELECTION CHAKACHUA(NEC) wameshikilia matokeo
wadau wansema anaelekea kuanguka lakini Chama Cha Machakajuaji (CCM) Na NATIONAL ELECTION CHAKACHUA(NEC) wameshikilia matokeo
fangfangjt JF-Expert Member Apr 25, 2008 571 139 Nov 2, 2010 #4 hata akishindwa ubunge lazima ataingia bungeni.....kama mnyunyuziaji unga kwenye meza za watu! kushindana jimbo mmoja na huyu mshirikina inahutaji moyo wa ziada!
hata akishindwa ubunge lazima ataingia bungeni.....kama mnyunyuziaji unga kwenye meza za watu! kushindana jimbo mmoja na huyu mshirikina inahutaji moyo wa ziada!
TIMING JF-Expert Member Apr 12, 2008 24,912 11,308 Nov 2, 2010 #5 Bwanga your avatar is the best... chapa lapa mkuu, mpaka bariadi tuchukue jimbo