Elections 2010 Andrew chenge

Bwanga

Member
May 26, 2010
46
6
Wadau tunaomba mtupe details za mzee wa vijisenti, ana hali gani jimboni kwake??
 
wadau wansema anaelekea kuanguka lakini Chama Cha Machakajuaji (CCM) Na NATIONAL ELECTION CHAKACHUA(NEC) wameshikilia matokeo
 
hata akishindwa ubunge lazima ataingia bungeni.....kama mnyunyuziaji unga kwenye meza za watu! kushindana jimbo mmoja na huyu mshirikina inahutaji moyo wa ziada!
 
Bwanga your avatar is the best... chapa lapa mkuu, mpaka bariadi tuchukue jimbo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom