http://www.tayoa.org/
Tayoa inawaletea wanajamii huduma bora na ya bei nafuu ya kuregister domains (matovuti) kwa hela ya madafu sh 25,000/ tuu. Sasa hakuna tena haja ya kusumbuliwa kulipia kwa dola sijui 30 na ukienda na $50 hakuna chenji na kumaliza siku nzima kutafuta chenji. Pia siye tunaweza kumaliza mambo yote ya kulipia kwa njiaraisi kwa kila mwananchi kama tigo pesa. Kwa hela hiyo tunaandikisha domain za .tz,.com,.org,.net na nyinginezo
hiyo ya .tz ni domaini ya nchi ya Tanzania halisi kwahiyo inakuambia hii kampuni inawalenga watanzania na hiyo ya .com ni kama ya ulimwengu mzima kwa hiyo campuni inaweza kuwa china na inachakachua kama kawaida mpaka bongo. Na ,org ni kwaajili ya organisation kwahiyo kama unaoganisation basi hiyo ndo ya kuchukua. Ukitaka kuwa na extension yako mwenyewe nazani itabidi uwe zaidi ya Bill Gates, when u get there tutafutane tunaweza kuanzisha kapetition cha hiyo extention.......... hahahahah hii sijui itakuwa ya making .king!